Fanya miamala ya mara kwa mara kirahisi kupitia SimBanking

CRDB BANK PLC
CRDB BANK PLC
Pakua mzigo mpya wa SimBanking unaokurahisishia kufanya miamala yako ya mara kwa mara, hifadhi miamala yako ya LUKU, Maji, bili ...
Pakua mzigo mpya wa SimBanking unaokurahisishia kufanya miamala yako ya mara kwa mara, hifadhi miamala yako ya LUKU, Maji, bili ya king'amuzi na ya watu unaowatumia pesa mara kwa mara kwenye favourites. Mara baada ya kukamilisha miamala utapata na risiti papo hapo. Haijawahi kuwa rahisi hivi! Pakua App kwenye PlayStore au App Store ufurahie huduma hii.

#BenkiNiSimBanking

همه توضیحات ...