Miamala ya fedha kwa watu wenye ulemavu Tanzania

Peter Mwangangi
Peter Mwangangi
Tanzania ina takribani watu 4.5m wanaoishi na ulemavu, kwa mujibu wa Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYA ...
Tanzania ina takribani watu 4.5m wanaoishi na ulemavu, kwa mujibu wa Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA). Hata hivyo 33% ya watu hao hawapati huduma za kifedha. Kulingana na Benki ya Dunia, asilimia 80% ya watu walio na ulemavu wanaishi katika nchi ambazo zinaendelea, na watu hao wako katika hatari kubwa zaidi ya kukosa huduma za kifedha, elimu, afya, ajira miongoni mwa huduma zingine.

#Ulemavu #Tanzania #PeterMwangangi

همه توضیحات ...