Wachezaji wote wa Simba walivyotambulishwa kwenye tamasha la 'Simba Day 2018'

Azam TV
Azam TV
1.6 میلیون بار بازدید - 6 سال پیش - Klabu ya Simba leo imewatambulisha
Klabu ya Simba leo imewatambulisha wachezaji wake wote mbele ya mashabiki wa timu hiyo kwenye tamasha kubwa ambalo hufanyika Agost 8 ya kila mwaka.

Tamasha hilo limefanyika kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam,  katika sherehe ambazo zimeambatana na mchezo wa kirafiki kati dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana.

Aliyesimamia kazi ya kuwatambulisha wachezaji hao, ni Msemaji wa timu hiyo, Haji Manara.
6 سال پیش در تاریخ 1397/05/17 منتشر شده است.
1,642,226 بـار بازدید شده
... بیشتر