Highlights | Simba SC 4-0 Namungo FC | VPL 18/07/2021

Azam TV
Azam TV
SIMBA VS NAMUNGO: Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC wameitandika Namungo FC mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho wa msim ...
SIMBA VS NAMUNGO: Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC wameitandika Namungo FC mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho wa msimu 2020/21 uliochezwa leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Magoli mawili yamefungwa na Chris Mugalu huku mengine yakifungwa na John Bocco na Medie Kagere.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: Instagram: azamtvtz
►INSTAGRAM: Instagram: azamsports2
►TWITTER: Twitter: azamtvtz
►FACEBOOK: Facebook: azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

همه توضیحات ...